Ukarabati wa Hosteli za wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Ardhi, Uliyofanyika chini ya Kampuni ya Ujenzi ya SUMAJKT (SUMAJKT Construction Company Limited)
ujenzi wa hosteli za Kisasa kwa ajili ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe kilichopo Mkoani Morogoro
Ujenzi wa Barabara kwa kiwango cha lami kupitia Kampuni ya Ujenzi SUMAJKT kanda ya Kusini yenye ofisi zake Mkoani Lindi
Ofisi za Halimashauri ya Wilaya ya Ruangwa iliyopo Mkoani Lindi, ambayo imejengwa na SUMAJKT CCL kanda ya Kusini.
Ujenzi wa Chuo Kikuu Cha Wanyama Pori Mweka ambao Uliyofanyika chini ya Kampuni ya Ujenzi ya SUMAJKT (SUMAJKT Construction Company Limited)
Ujenzi wa Hospitali ya UHURU iliyopo Jijini Dodoma, Uliyofanyika chini ya Kampuni ya Ujenzi ya SUMAJKT (SUMAJKT Construction Company Limited) Kanda ya Kati.
Jengo la Ukumbi wa Sherehe una omilikiwa na SUMAJKT ambao umejengwa kwa kutumia Teknolojia ya Kisasa ya UBM kupitia Kampuni ya Ujenzi ya SUMAJKT (SUMAJKT Construction Company Limited)
Karibu SUMAJKT Construction Company Ltd (SUMAJKT CCL)
SUMAJKT CCL ni moja ya Kampuni Tanzu za Shirika la Uzalishaji Mal la Jeshi la Kujenga Taifa. Kampuni hii inayojishughulisha na kazi za Ujenzi hapa nchini
DIRA
Kuwa Kampuni ya Umma ya Ujenzi inayoaminiwa kwa ukuaji wa Miundombinu Tanzania.
DHIMA
Kutoa Huduma na bidhaa za Ujenzi zinazokidhi viwango stahiki katika muda uliowekwa kwa kutumia Teknolojia muafaka.